caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 52

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:52

وَأَوْحَيْنَآ إِلَىٰ مُوسَىٰٓ أَنْ أَسْرِ بِعِبَادِىٓ إِنَّكُم مُّتَّبَعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tulimuamrisha Musa kwa ufunuo: Nenda na waja wangu wakati wa usiku. Kwa hakika mtafuatwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tulimuamrisha Musa kwa wahyi: Nenda na waja wangu wakati wa usiku. Kwa hakika mtafuatwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70