وَمَا يَأْتِيهِم مِّن ذِكْرٍ مِّنَ ٱلرَّحْمَٰنِ مُحْدَثٍ إِلَّا كَانُوا۟ عَنْهُ مُعْرِضِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala hauwafikii ukumbusho mpya kutoka kwa Arrahman (Mwingi wa rehema), isipokuwa wao huupa mgongo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala hauwafikii ukumbusho mpya kutoka kwa Arrahman ila wao hujitenga nao.