caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:4

إِن نَّشَأْ نُنَزِّلْ عَلَيْهِم مِّنَ ٱلسَّمَآءِ ءَايَةً فَظَلَّتْ أَعْنَٰقُهُمْ لَهَا خَٰضِعِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterTungependa, tungeliwateremshia kutoka mbinguni Ishara zikashinda zimezinyenyekea shingo zao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTunge penda tungeli wateremshia kutoka mbinguni Ishara zikanyenyekea shingo zao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70