لَعَلَّكَ بَٰخِعٌ نَّفْسَكَ أَلَّا يَكُونُوا۟ مُؤْمِنِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuenda ukaihiliki nafsi yako kwa kuwa hawawi Waumini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHuenda labda ukajikera nafsi yako kwa kuwa hawawi Waumini.