caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 32

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:32

فَأَلْقَىٰ عَصَاهُ فَإِذَا هِىَ ثُعْبَانٌ مُّبِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi akaitupa fimbo yake, mara ikawa nyoka wa kuonekana dhahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi akaitupa fimbo yake, mara ikawa nyoka wa kuonekana dhaahiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70