caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:29

قَالَ لَئِنِ ٱتَّخَذْتَ إِلَٰهًا غَيْرِى لَأَجْعَلَنَّكَ مِنَ ٱلْمَسْجُونِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Firauni) akasema: Ukijifanyia mungu mwingine asiyekuwa mimi, basi bila ya shaka nitakufunga gerezani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Firauni) akasema: Ukimfuata mungu mwengine asiye kuwa mimi, basi bila ya shaka nitakufunga gerezani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70