caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:30

قَالَ أَوَلَوْ جِئْتُكَ بِشَىْءٍ مُّبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Je, hata kama nitakuletea kitu cha kubainisha wazi?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Je! Ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70