caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 20

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:20

قَالَ فَعَلْتُهَآ إِذًا وَأَنَا۠ مِنَ ٱلضَّآلِّينَ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Musa) akasema: Nilitenda hayo hapo nilipokuwa miongoni mwa wale waliopotea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Musa) akasema: Nilitenda hayo hapo nilipo kuwa miongoni mwa wale walio potea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70