caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:19

وَفَعَلْتَ فَعْلَتَكَ ٱلَّتِى فَعَلْتَ وَأَنتَ مِنَ ٱلْكَٰفِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ukatenda kitendo chako ulichotenda, nawe ukawa miongoni mwa wenye kukufuru?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ukatenda kitendo chako ulicho tenda, nawe ukawa miongoni mwa wasio na shukrani?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70