فَأَنجَيْنَٰهُ وَمَن مَّعَهُۥ فِى ٱلْفُلْكِ ٱلْمَشْحُونِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo tukamwokoa yeye na waliokuwa pamoja naye katika marikebu iliyosheheni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa hivyo tukamwokoa yeye na walio kuwa pamoja naye katika marikebu iliyo sheheni.