caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 117

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:117

قَالَ رَبِّ إِنَّ قَوْمِى كَذَّبُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wamenikadhibisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wamenikanusha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70