caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 102

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:102

فَلَوْ أَنَّ لَنَا كَرَّةً فَنَكُونَ مِنَ ٱلْمُؤْمِنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLaiti tungelipata kurejea tena, tungelikuwa katika Waumini."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLaiti tungeli pata kurejea tena tungeli kuwa katika Waumini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70