caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 72

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:72

وَٱلَّذِينَ لَا يَشْهَدُونَ ٱلزُّورَ وَإِذَا مَرُّوا۟ بِٱللَّغْوِ مَرُّوا۟ كِرَامًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale ambao hawatoi ushahidi wa uongo, na pindi wapitapo penye upuuzi, hupita kwa heshima yao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wale ambao hawatoi ushahidi wa uwongo, na pindi wapitapo penye upuuzi, hupita kwa hishima yao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70