caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 39

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:39

وَكُلًّا ضَرَبْنَا لَهُ ٱلْأَمْثَٰلَ وَكُلًّا تَبَّرْنَا تَتْبِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wote tuliwapigia mifano, na wote tuliwaangamiza kabisa kabisa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wote tuliwapigia mifano, na wote tuliwaangamiza kabisa kabisa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70