caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 23

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:23

وَقَدِمْنَآ إِلَىٰ مَا عَمِلُوا۟ مِنْ عَمَلٍ فَجَعَلْنَٰهُ هَبَآءً مَّنثُورًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tutayaendea yale waliyoyatenda katika matendo na tuyafanye kama mavumbi yaliyotawanywa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tutayaendea yale waliyo yatenda katika vitendo vyao, tuvifanye kama mavumbi yaliyo tawanyika.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70