caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 92

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:92

عَٰلِمِ ٱلْغَيْبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ فَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYeye ndiye ajuaye siri na dhahiri, na ametukuka juu ya hayo wanayomshirikisha nayo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMjuzi wa siri na dhaahiri, na ametukuka juu ya hayo wanayo mshirikisha nayo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70