caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 56

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:56

نُسَارِعُ لَهُمْ فِى ٱلْخَيْرَٰتِ بَل لَّا يَشْعُرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNdiyo tunawaharakishia heri? Lakini wenyewe hawatambui.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNdio tunawahimizia kheri? Lakini wenyewe hawatambui.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70