caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 53

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:53

فَتَقَطَّعُوٓا۟ أَمْرَهُم بَيْنَهُمْ زُبُرًا كُلُّ حِزْبٍۭ بِمَا لَدَيْهِمْ فَرِحُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLakini walikatiana jambo lao mapande mbalimbali. Kila kundi likifurahia kwa waliyo nayo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLakini walikatiana jambo lao mapande mbali mbali. Kila kundi likifurahia kwa waliyo nayo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70