caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 52

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:52

وَإِنَّ هَٰذِهِۦٓ أُمَّتُكُمْ أُمَّةً وَٰحِدَةً وَأَنَا۠ رَبُّكُمْ فَٱتَّقُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa yakini huu Umma wenu ni Umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi, basi nicheni Mimi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa yakini huu Umma wenu ni Umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi, basi nicheni Mimi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70