caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 51

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:51

وَٱلَّذِينَ سَعَوْا۟ فِىٓ ءَايَٰتِنَا مُعَٰجِزِينَ أُو۟لَٰٓئِكَ أَصْحَٰبُ ٱلْجَحِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanaojitahidi kuzipinga Aya zetu, hao ndio watu wa Motoni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanao jitahidi kuzipinga Aya zetu hao ndio watu wa Motoni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70