فَٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُم مَّغْفِرَةٌ وَرِزْقٌ كَرِيمٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi walioamini na wakatenda mema watapata kufutiwa dhambi na riziki za ukarimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi walio amini na wakatenda mema watapata maghfira na riziki za ukarimu.