caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 49

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:49

قُلْ يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِنَّمَآ أَنَا۠ لَكُمْ نَذِيرٌ مُّبِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Enyi watu! Hakika mimi ni mwonyaji kwenu niliye dhahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Enyi watu! Hakika mimi ni mwonyaji kwenu niliye dhaahiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70