وَمَا جَعَلْنَٰهُمْ جَسَدًا لَّا يَأْكُلُونَ ٱلطَّعَامَ وَمَا كَانُوا۟ خَٰلِدِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala hatukuwafanya miili isiyokula chakula, wala hawakuwa wenye kuishi milele.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala hatukuwafanya miili isiyo kula chakula, wala hawakuwa wenye kuishi milele.