caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 9

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:9

ثُمَّ صَدَقْنَٰهُمُ ٱلْوَعْدَ فَأَنجَيْنَٰهُمْ وَمَن نَّشَآءُ وَأَهْلَكْنَا ٱلْمُسْرِفِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha tukawatimizia miadi, na tukawaokoa wao na wale tuliowataka, na tukawaangamiza wale waliopitiliza mipaka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha tukawatimizia miadi, na tukawaokoa wao na tulio wataka, na tukawateketeza walio pita mipaka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70