caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 64

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:64

فَرَجَعُوٓا۟ إِلَىٰٓ أَنفُسِهِمْ فَقَالُوٓا۟ إِنَّكُمْ أَنتُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wakajirudia, wakasema: Hakika nyinyi mlikuwa madhalimu!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wakajirudi nafsi zao, wakasema: Hakika nyinyi mlikuwa madhaalimu!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70