caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 51

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:51

وَلَقَدْ ءَاتَيْنَآ إِبْرَٰهِيمَ رُشْدَهُۥ مِن قَبْلُ وَكُنَّا بِهِۦ عَٰلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tulikwishampa Ibrahim uongofu wake zamani, na tulikuwa tunamjua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika tulikwisha mpa Ibrahim uwongofu wake zamani, na tulikuwa tunamjua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70