إِذْ قَالَ لِأَبِيهِ وَقَوْمِهِۦ مَا هَٰذِهِ ٱلتَّمَاثِيلُ ٱلَّتِىٓ أَنتُمْ لَهَا عَٰكِفُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAlipomwambia baba yake na watu wake: Ni nini haya masanamu mnayoshughulika kuyaabudu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAlipo mwambia baba yake na watu wake: Ni nini haya masanamu mnayo yashughulikia kuyaabudu?