فَمَا زَالَت تِّلْكَ دَعْوَىٰهُمْ حَتَّىٰ جَعَلْنَٰهُمْ حَصِيدًا خَٰمِدِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi hakikuacha hicho kuwa ndicho kilio chao mpaka tukawafanya kama waliofyekwa, wamezimika.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakikuacha hicho kuwa kilio chao mpaka tukawafanya kama walio fyekwa, wamezimika.