وَمَا خَلَقْنَا ٱلسَّمَآءَ وَٱلْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا لَٰعِبِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina ya hivyo kwa mchezo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo.