caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 102

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:102

لَا يَسْمَعُونَ حَسِيسَهَا وَهُمْ فِى مَا ٱشْتَهَتْ أَنفُسُهُمْ خَٰلِدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHawatausikia mvumo wake, na wao watadumu katika yale ambayo nafsi zao zinayatamani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHawatausikia mvumo wake, na wao watadumu katika yale zinayo yatamani nafsi zao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70