caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 92

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:92

قَالَ يَٰهَٰرُونُ مَا مَنَعَكَ إِذْ رَأَيْتَهُمْ ضَلُّوٓا۟

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Musa) akasema: Ewe Harun! Ni nini kilichokuzuia, ulipowaona wamepotea?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Musa) akasema: Ewe Harun! Ni nini kilicho kuzuia, ulipo waona wamepotea,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70