caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 49

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:49

قَالَ فَمَن رَّبُّكُمَا يَٰمُوسَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Firauni) akasema: Basi Mola wenu Mlezi ni nani, ewe Musa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Firauni) akasema: Basi Mola wenu Mlezi ni nani, ewe Musa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70