caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:48

إِنَّا قَدْ أُوحِىَ إِلَيْنَآ أَنَّ ٱلْعَذَابَ عَلَىٰ مَن كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika tumefunuliwa sisi kwamba hakuna shaka adhabu itampata anayekadhibisha na akapuuza
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika tumefunuliwa sisi kwamba hapana shaka adhabu itamsibu anaye kadhibisha na akapuuza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70