caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:50

قَالَ رَبُّنَا ٱلَّذِىٓ أَعْطَىٰ كُلَّ شَىْءٍ خَلْقَهُۥ ثُمَّ هَدَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Mola wetu Mlezi ni yule aliyekipa kila kitu umbo lake, kisha akakiongoa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Mola wetu Mlezi ni yule aliye kipa kila kitu umbo lake, kisha akakiongoa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70