caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:4

تَنزِيلًا مِّمَّنْ خَلَقَ ٱلْأَرْضَ وَٱلسَّمَٰوَٰتِ ٱلْعُلَى

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi uteremsho kutoka kwa aliyeumba ardhi na mbingu zilizo juu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMateremsho yatokayo kwa aliye umba ardhi na mbingu zilizo juu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70