caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:3

إِلَّا تَذْكِرَةً لِّمَن يَخْشَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBali ni ukumbusho kwa mwenye kunyenyekea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBali ni mawaidha kwa wenye kunyenyekea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70