caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 6

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:6

إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ سَوَآءٌ عَلَيْهِمْ ءَأَنذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika, wale waliokufuru ni sawa kwao uwaonye au usiwaonye, hawaamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70