caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 7

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:7

خَتَمَ ٱللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ وَعَلَىٰٓ أَبْصَٰرِهِمْ غِشَٰوَةٌ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu ameziziba nyoyo zao na kusikia kwao, na juu ya kuona kwao kuna pazia. Nao wana adhabu kubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70