caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 5

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:5

أُو۟لَٰٓئِكَ عَلَىٰ هُدًى مِّن رَّبِّهِمْ وَأُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْمُفْلِحُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao wako kwenye uongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio waliofaulu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70