caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 252

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:252

تِلْكَ ءَايَٰتُ ٱللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِٱلْحَقِّ وَإِنَّكَ لَمِنَ ٱلْمُرْسَلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHizi ni Aya za Mwenyezi Mungu tunazokusomea kwa haki. Na hakika wewe ni miongoni mwa Mitume.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHizi ni Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki. Na hakika wewe ni miongoni mwa Mitume.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70