caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 152

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:152

فَٱذْكُرُونِىٓ أَذْكُرْكُمْ وَٱشْكُرُوا۟ لِى وَلَا تَكْفُرُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi nitajeni, nitakutajeni. Na nishukuruni, wala msinikufuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi nikumbukeni nitakukumbukeni, na nishukuruni wala msinikufuru.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70