وَكُلُّهُمْ ءَاتِيهِ يَوْمَ ٱلْقِيَٰمَةِ فَرْدًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kila mmoja wao atamjia Siku ya Kiyama peke yake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kila mmoja katika wao atamfikia Siku ya Kiyama peke yake.