caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 96

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:96

إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ سَيَجْعَلُ لَهُمُ ٱلرَّحْمَٰنُ وُدًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wale walioamini na wakatenda mema, Arrahmani (Mwingi wa rehema) atawafanyia mapenzi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika walio amini na wakatenda mema Arrahmani Mwingi wa Rehema atawajaalia mapenzi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70