caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 72

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:72

ثُمَّ نُنَجِّى ٱلَّذِينَ ٱتَّقَوا۟ وَّنَذَرُ ٱلظَّٰلِمِينَ فِيهَا جِثِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha tutawaokoa sawasawa wale waliomcha Mungu; na tutawaacha madhalimu humo huku wamepiga magoti.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha tutawaokoa wale walio mchamngu; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70