caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:29

فَأَشَارَتْ إِلَيْهِ قَالُوا۟ كَيْفَ نُكَلِّمُ مَن كَانَ فِى ٱلْمَهْدِ صَبِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo, akamuashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeshe aliye bado mtoto mdogo yumo katika mlezi?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70