caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 28

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:28

يَٰٓأُخْتَ هَٰرُونَ مَا كَانَ أَبُوكِ ٱمْرَأَ سَوْءٍ وَمَا كَانَتْ أُمُّكِ بَغِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEwe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu mbaya, wala mama yako hakuwa kahaba.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEwe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70