caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 13

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:13

وَحَنَانًا مِّن لَّدُنَّا وَزَكَوٰةً وَكَانَ تَقِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukampa huruma itokayo kwetu, na utakaso, na akawa mcha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukampa huruma itokayo kwetu, na utakaso, na akawa mcha mungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70