caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 12

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:12

يَٰيَحْيَىٰ خُذِ ٱلْكِتَٰبَ بِقُوَّةٍ وَءَاتَيْنَٰهُ ٱلْحُكْمَ صَبِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEwe Yahya! Kishike Kitabu kwa nguvu! Nasi tulimpa hekima angali mtoto.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEwe Yahya! Kishike Kitabu kwa nguvu! Nasi tulimpa hikima angali mtoto.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70