فَمَا ٱسْطَٰعُوٓا۟ أَن يَظْهَرُوهُ وَمَا ٱسْتَطَٰعُوا۟ لَهُۥ نَقْبًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi hawakuweza kukikwea, wala hawakuweza kukitoboa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi hawakuweza kuukwea, wala hawakuweza kuutoboa.