caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Kahf, Aya 83

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 69 · 18:83

وَيَسْـَٔلُونَكَ عَن ذِى ٱلْقَرْنَيْنِ قُلْ سَأَتْلُوا۟ عَلَيْكُم مِّنْهُ ذِكْرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanakuuliza kuhusu Dhul-Qarnain. Waambie: nitawasomea baadhi ya hadithi yake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70